Tangaza Habari Njema
(Go and preach)

Tangaza habari njema
Eleza kwa kila lugha
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia....... Unasema…..

Tangaza habari njema
Eleza kwa kila lugha
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia..
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia

Bwana Yesu alisema
Mimi nitarudi tena
Niwakaribishe kwangu
Nilipo mimi nanyi muwepo
Niwakaribishe kwangu
Nilipo mimi nanyi muwepo

Unasema...
Tangaza habari njema...
Eleza kwa kila lugha
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia..
Kila moja asikiye
Kwamba Yesu anakaribia

To and teach
The words that I preach
Make your way
Proclaim what I say
To every tribe in every tongue
The joyful news to everyone
To every tribe in every tongue
The joyful news to everyone

Jesus said I have to go
But you must share the news you know
To all the world for when I’m gone
My Holy Spirit will live on
To all the world whem I’m gone
My Holy Spirit will live on

Staat op: Amani/Peace